VITALU VYA MICHE

Vitalu Vyetu

ABCEO inaendesha vitalu kadhaa vinavyohudumia maeneo ya mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.

Tunazalisha miche bora na yenye ubora wa kitaalam kwa ajili ya:

  • Misitu
  • Mashamba ya jamii
  • Miradi ya taasisi
  • Shule

Aina za Miche Tunazozalisha

  • Mpingo (Dalbergia melanoxylon)
  • Terminalia
  • Albizia
  • Acacia spp
  • Mivule
  • Podocarpus
  • Matunda: Miembe, parachichi, mapera, miparachichi
  • Miti ya kivuli

Huduma za Ziada